Mshambuliaji
wa Simba, Haruna Chanongo (shoto), akiruka kwanja la beki wa JKT
Oljoro, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa leo
jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo
Simba ilishinda mabao 4-0.
Wachezaji wa Oljoro JKT wakipanga mikakati ya kuwatoka wachezaji wa Simba.
Ramadhan Singano 'Mess' akimtoka beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
Mashabiki wa Simba.
Amis tabwe akitafuta mbinu za kumtoka, Nurdin Mohamed
Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akishangaa gooooooooo!!!!!
Amis Tambwe akishangilia moja kati ya mabao aliyoifungia timu yake kati ya matatu.
Leo tumewashika!!!!!!!
Wachezaji wa Oljoro JKT wakijipoza kwa maji.
Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe.
Ramadhan Singano akichuana na Aziz Yusuf.
Aziz Yusuf akimiliki mpira huku aAmis Tambwe akijaribu kuleta rabsha.
Imechotwa: Sufiani Mafoto blog


Post a Comment