Mjumbe wa Kamati Kuu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe mwenzake
Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa Makao Makuu
ya CCM mjini Dodoma leo, Feb 15, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha
Kamati Kuu ya CCM.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Balozi Ali Mchumo (kushoto) Bernad Membe (kulia) na Adam Malima, wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Post a Comment