Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZAIDI ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 ZILIZOONGOZWA NA MAMA SALMA KIKWETE MKOANI LINDI

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi, Ndugu Ali Mtopa mara tu baada ya kuwasili kwenye Kata ya Likunja iliyoko katika wilaya ya Ruangwa ambako zilifanyika sherehe za miaka 37 ya CCM Kimkoa ambapo Mama Salma alikuwa mgeni rasmi tarehe 2.2.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekezwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Lindi,Ndugu Adeline Gefi sehemu ya kupita ili kupokea maandamano ya wana CCM na wananchi wa mkoa huo wakati wa kilele cha sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa chama hicho zilizofanyika katika Kata ya Likunja, wilayani Ruangwa tarehe 2.2.2014. Wa kwanza kulia ni Dr. Maua Daftari, Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Lindi.
 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliofika kwenye sherehe za kilele za CCM kutimiza miaka 37 zilizofanyika kimkoa katika Kata ya Likunja, wilayani Ruangwa tarehe 2.2.2013
 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akipokea maandamano ya wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Lindi wakati wa sherehe za kilele cha kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi  mkoani humo zilizofanyika katika kata ya Likunja iliyoko katika wilaya ya Ruangwa tarehe 2.2.2014.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua shina la wakereketwa la Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) katika Kata ya Likunja wakati wa kilele ya sherehe ya miaka 37 ya CCM zilizofanyika katika kata hiyo tarehe 2.2.2014. Mara baada ya kuzindua tawi hilo Mama Salma akapokea shada la maua kutoka kwa mmoja wa viongozi wa UWT wa Kata hiyo na picha ya mwisho ikiwaonyesha akina mama wajumbe wa Tawi hilo wakishangilia baada ya uzinduzi huo.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka Bibi Mwanahawa Ali, mjumbe wa UWT wa Kata ya Likunja kwa niaba ya wananchi wa wilaya ya Ruangwa wakati wa kilele cha sherehe za CCM kutimiza miaka 37.
 Ngoma za utamaduni  za makabila mbalimbali ya mkoa wa Lindi zilishamiri katika kilele cha sherehe za miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika  Mkoani Lindi katika Kata ya Likunja huko wilayani Ruangwa. Hata muziki wa kizazi kipya nao uliporomoshwa katika kilele hicho.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa Mgeni Rasmi kwenye sherehe hizo

  Mgeni Rasmi katika sherehe za CCM kutimiza miaka 37 katika Mkoa wa Lindi, Mama Salma Kikwete akikata keki maalum ya sherehe na kuwalisha wana CCM waliozaliwa mwaka 1977, ambapo Chama Cha Mapinduzi kilizaliwa.
 Mmoja wa wana CCM akilishwa keki
 Mgeni Rasmi katika kilele cha sherehe ya kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi, Mkoani Lindi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Lindi katika sherehe zilizofanyika katika Kata ya Likunja, wilayani Ruangwa  tarehe 2.2.2014.

 Baadhi ya wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Lindi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi, Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha sherehe za kutimiza miaka 37 ya chama hicho zilizofanyika katika kata ya Likunja, wilayani Ruangwa tarehe 2.2.2014.

Baadhi ya wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Lindi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi, Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha sherehe za kutimiza miaka 37 ya chama hicho zilizofanyika katika kata ya Likunja, wilayani Ruangwa tarehe 2.2.2014. Picha zote na John Lukuwi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top