Mwenyekiti
wa BNN Convention Centre, Paul Koyi (Kushoto) wakijadiliana jambo na
Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa kabla ya mgeni rasmi kuingia.
Waziri Kigoda akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa BNN na Jameson
Mwanyekiti wa BNN akiwakaribisha wageni waalikwa pamoja na kutoa nasaha zake
….. akiwapongeza wafanyakazi wote wa BNN na wageni waalikwa
Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinywaji cha Chivas waziri Kigoda
Waziri Kigoda na wenyeji wake wakifuatilia jambo ukumbini humo
Akiongea na waandishi wa habari
Adam (kushoto) akijadiliana jambo na Mc wa hafla hiyo
Baadhi ya wageni waalikwa wakipozi kupiga picha
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na Adam
Adam akibadilishana mawazo na baadhi ya vijana wake
1. …wakipata vinywaji.
Mmoja wa wageni waalikwa, Awadhi Said akipata kinywaji
audumu wa vinywaji vya Jameson wakiwajibika
Mwenyekiti wa BNN (Kushoto) akimwelekeza jambo Waziri Kigoda
Baadhi ya wageni waalikwa wakipatiwa uduma ya Bites.
Jana
jioni kulifanyika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mikutano cha BNN
Convention Centre, kilichopo ndani ya jengo la Quality Centre, Barabara
ya Nyerere, jijini Dar es salaam, mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Viwanda
na Biashara, Mhe. Dr. Abdallah Kigoda (Mbunge).
Uzinduzi
huo ulidhaminiwa na Kampuni ya Pernord Ricard Sub-Saharan Africa,
watoaji wa pombe za Chivas, Ricard, Malibu, Jameson, The Glenlivet,
Absolut Vodka, Ballantines, Kahlua, Havana Club, Beefeater, Martell,
Royal Salute na Perriel Jolet.
(PICHA/STORI: ISSA MNALLY/GPL




















Post a Comment