 |
| Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Mushi (katikati), akiwa
na wanachama wengine wa umoja huo, baada ya kukabidhi zawadi ya
vyakula kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika
Manispaa ya Moshi, mkoani hapo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
miaka 37 ya CCM. |
 |
| Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), mkoa wa Kilimanjaro, Zuena
Mushi, akiotesha mti katika shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro wakati wa maadhimisho ya miaka
37 ya CCM, kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo Manispaa, Lucrecia Kundy. |
 |
| Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), mkoa wa Kilimanjaro, Zuena
Mushi, akiotesha mti katika shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro wakati wa maadhimisho ya miaka
37 ya CCM, kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo Manispaa, Lucrecia Kundy |
 |
| Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Mushi (kushoto),
akimlisha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, ambaye ni mwanafunzi katika
shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika Manispaa ya Moshi, mkoani
hapo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM.kulia kwake ni
Mwenyekiti wa umoja huo Manispaa, Lucrecia Kundy |
on Monday, February 3, 2014
Post a Comment