Mkufunzi
wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa somo kwa
washiriki wa Semina ya siku tano ya Maadili na Jinsia inayolenga
kuwajengea uwezo waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii
nchini iliyofadhiliwa na UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015 inayoendelea mjini Dodoma.
Pichani
juu na chini ni Baadhi ya watangazaji na waandishi wa habari kutoka
Redio mbalimbali za Jamii wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea mjini
Dodoma.
Pichani
juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari na watangazaji wa redio
za jamii wakichangia maoni kwenye mafunzo ya siku tano yanayoendelea
mjini Dodoma.
Mmoja
wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka redio Triple A FM ya jijini Arusha
Grace Damian akizungumzia changamoto mbalimbali zinazozikabili Redio za
Jamii nchini.
Post a Comment