Ni maduka yaliyopo Eneo la Miyomboni Manispaa ya Iringa (Picha na Fadhi Mtanga)
******
Na Martha Magessa
Wafanya
biashara wa manispaa ya Iringa wafungua maduka yao, baada ya kikao na
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt.Christine Ishengoma.Uliyo fanyika jana
katika ukumbi wa community center uliyopo Eneo la kitanzini Manispaa ya
Iringa na kuwaomba wafungue maduka yao ili wananchi wapate huduma.
Post a Comment