Wapita
njia wakipita katika mtaa wa barabara ya sita wakishuhudia maduka
yakiwa yamefungwa kwa muda usiojulikana baada yawafanyabiashara kugomea
mashine za kieletroniki EFDs zilizotolewa na Mamlaka ya mapato Tanzania
(TRA).(Picha na John Banda)
Baadhi
ya wafanyabiashara wa maduka wakifunga maduka nakupiga soga nje ya
maduka yao baada ya kuyafunga kwa muda usiyojulikana wakipinga mashine
ya kielektroniki EFDs iliyotolewa na TRA na kutakiwa kila
mfanyabiashara kuwa nayo.
Maduka
yakiwa yamefungwa katika mitaa mbalimbali ya manispaa ya Dodoma baada ya
wafanyabiashara kugoma kuazia jana karibu nchi nzima kwa muda
usiyojulikana huku mapendekezo yao kuwa gharama za uendeshaji mashine
hizo zifanywe na serekali.
Post a Comment