Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri Mbarawa azindua mradi wa njia ya mawasiliano ( Microwave Link) ChakeChake Pemba


WAZIRI wa sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Pfo, Makame Mnyaa Mbarawa akikata utepe kuashiria kufungua mradi wa njia ya mawasiliano (Microwave link) kwenye mtambo wa TTCL Michakaini Chakchake Pemba, ambapo mawasiliano hayo yameunganisshwa baina Dar-es Salaam, Pemba na Unguja (picha na Haji Nassor, Pemba)
WAZIRI wa sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Pfo, Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza moja kwa moja (live) na watendaji wa TTCL walioko jijini Dar –es Salaam, mara baada ya kuzindua mradi wa njia ya mawasiliano (Microwave link) kwenye mtambo wa TTCL Michaini Chakchake Pemba, ambapo mawasiliano hayo yameunganisshwa baina Dar-es Salaam, Pemba na Unguja (picha na Haji Nassor, Pemba)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top