
Katiba Mpya
Ninakwenda Dodoma kuhudhuria Bunge maalumu la Katiba. Maeneo ambayo nimependekeza kubobea kwenye Katiba ni haya
1 Miiko ya Uongozi na Uwajibikaji
2 Rasilimali uchumi
3 Haki za Raia (elimu na hifadhi ya jamii)
4 Kuendelea kuwepo kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
on Tuesday, February 18, 2014
Post a Comment