Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Baada ya Kimya cha kimuziki,huu ndiyo ujio mpya wa Roma Mkatoliki.


IMG-20140307-WA0014
Roma ni miongoni mwa wasanii ambao wanatoa nyimbo chache sana kwa mwaka mzima au pengine katika mwaka mzima akatoa wimbo mmoja tu,kumbukumbu ya wimbo wa mwisho kuuachia ulikua unaitwa 2030 ambao ulitoka mwishoni mwa mwaka 2012.


IMG-20140307-WA0017(1)
Huu ni ujio wake mpya ambao umekuja na  wimbo mpya ambao ameupa jina la KKK,kirefu na maana halisi amesema atakuja kuelezea siku ya kuuachia wimbo rasmi tarehe 10 March 2014 ambayo ni Jumatatu ijayo,hiki ni kipande anachoelezea kwa ufupi.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top