Diwani
wa kata ya Kipawa, Bonnah Kaluwa
wa pili nyuma akikagua nyumba za wakazi wa eneo la Karakata kata ya Kipawa
ambao nyumba zao zimebomoka na kuezuliwa na upepo mkali.
Moja ya
nyumba zilizoezuliwa na upepo mkali ulioambatana mvua kubwa eneo lakarakata
kata ya Kipawa
Mwenyekiti
wa Mtaa wa Karakata, Bwana Malick akitembelea wakazi walioathirika kwa nyumba
zao zilizoezuliwa mapaa


Post a Comment