Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Barcelona yamsajili golikipa mpya kumrithi Valdes

 

ter-stegen-bitti-valdes-e-sozlesme-yok-5614713_o
Klabu ya FC Barcelona imetangaza kufikia makubaliano na  Borussia Monchengladbach juu ya uhamisho wa golikipa  Marc-Andre ter Stegen kwa ada inayokaribia kiasi cha €9-12 million pamoja na kucheza mechi mbili za kirafiki, gazeti la kihispania la Marca limethibitisha.Barca walikuwa sokoni kwa muda mrefu wakijaribu kutafuta golikipa baada ya Victor Valdes kutangaza angeondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu na sasa wamempata mrithi wake Ter Stegen.Golikipa huyu raia wa Ujerumani atasaini mkataba utakaomuweka Barcelona mpaka 2019.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top