KATIKA AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI MAENEO YA SAME KATIKA KIJIJI KATI YA MGAGAO NA NJARO AMBAPO UNAAMBIWA
HAKUNA MTU ALIYEPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI HIYO ILA WAPO WALIOUMIA
VIBAYA AMBAPO MAJERUHI WAPO KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA SAME
MATUKIO KATIKA PICHA NA RIPOTA WETU KUTO SAME MJINI ELLY MCHUNGU
Post a Comment