Wanakalenga hii leo Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio FINAL RESULT,MATOKEO YA JUMLA.
CCM wamepata Kura 22908
CHADEMA Wamepata Kura 5800
Chausta 143.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.4
Chadema kwa Asilimia 20.1
Chausta Kwa Asilimia 0.5
HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU.
2 comments
Poleni chadema. Mjue watanzania ni walewale hawajagawanyika. Mshikamano bado uko kwenye damu!
ReplyHlloooo! Mkubwa akikuta toto tundu asimjibu kubwa jinga. CDM jifunzeni kwa wahenga " asiyesikia la mkuu huvunjika guu" CDM endelezeni harakati zenye tija na za kistaarabu.
ReplyPost a Comment