.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kimange,Kata ya Kimange
Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni zake za
Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6,2014.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akijumuika pamoja na wanakijiji wa Miono,Wilayani Bagamoyo
kwenye dua maalum ya kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie mafanikio mema
katika kumuongoza Mgombea Ubunge huyo kwenye mwendelezo wa Kampeni zake.
Dua ikiendelea.......
wakiwa wamesimama kwa dakika moja kumkumbuka aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Marehemu Said Bwanamdogo.
Ridhiwani akiendelea kumwaga sera zake.
Wadau wa Kijiji cha Kimange wakichukua taswira ya Mgombea wao kupitia simu zao za mikononi.
"Mtoto Mzuri naomba Kofiaaaaa"
Wananchi wakimsikiliza Mgombea wako kwa makini.
Nyundo na Jembe ndio mpango mzimaaaa......
"Kijana
wetu wewe ndie tunaekutaka,na amini utashinda kwa kishindo" ndivyo
alivyosikika mama huyu akimwambia Mgombea Ubunge Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mkutano
kwa siku ya leo ulimalizikia katika Kijiji cha Mbwewe,Pichani ni
Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze akipita katikati ya vijana wa chipukizi
wakati akiwasili kwenye Kijiji hicho.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akifurahia
baada ya kupewa maneno ya kuvutia kutoka kwa vijana wa chipukizi.
Post a Comment