Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wasafiri wa Ndege Popote Duniani kuelekea Malawi,hali ua Uwanja si Salama


 

Ndege ya shirika la ndege la Malawi
********
Mamia ya wasafiri wamekwama katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Blantyre, Malawi baada ya uwanja huo kusemekana kutokuwa salama.
Ndege ziliamrishwa kubadili mkondo zikiwa angani huku wasafiri wakitakiwa kwenda mjini Lilongwe umbali wa kilomita miambili kutoka Blantyre, ili kuendelea na safari zao.
Waziri wa usafiri, Ulemu Chilapondwa, amesema kuwa uwanja huo utafungwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na ubovu wa barabara zinazotumiwa na ndege wakati zikiruka
BBC
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top