Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM MOTO WA KUOTEA MBALI .... KAMPENI ZA CCM KALENGA ZAINGIA MUWIMBI, MFUKULENGE, LUMULI

Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa, akisalimiana na akina mama wa Kijiji cha Mfukulenge, Kata ya Ifunda, Iringa Vijijini leo baada ya mkutano wa kampeni kumalizika.
 Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa, akisalimiana na akina mama wa Kijiji cha Mfukulenge, Kata ya Ifunda, Iringa Vijijini leo baada ya mkutano wa kampeni kumalizika.

 Akina mama wakisikiliza kwa makini wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akitoa somo la upigaji kura katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Muwimbi, Kata ya Lumuli, Iringa Vijijini leo.
 Meneja wa Kampeniza CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Meja mstaafu Mbuta akielezea umuhimu wa kumchagua Godfrey Mgimwa katika uchaguzi utakaofanyika Jumapili Machi 16, mwaka huu.
 Akina mama wakipiga makofi kufurahishwa na hotuba ya mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mfukulenge, Kata ya Ifunda leo
 Mgimwa akisalimiana na wazee wa Kijiji cha Mfukulenge baada ya kumalizika mkutano wa kampeni leo
Wananchi wa Kijiji cha Mfukulenge, wakisalimiana na mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga bvaada ya mkutano wa kampeni kumalizika leo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG,
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top