*YAMNG'OA MWENYEKITI NA WANACHAMA 52 WA CHADEMA KIJIJINI KWA MGOMBEA WA CHADEMA CHA WANGAMA, NDANI TA KATA HIYO.
Mwenyekiti wa Chadema katika kijiji cha Wangama jimbo la Kalenga,
Iringa Vijijini, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi ya chama hicho kwa
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga, baada ya kutangaza kuhamia
CCM, kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa CCM jimboni humo,
leo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo wapo wanachama wengine 50
alioambatana nao kutoka Chadema. Kijiji hicho cha Wangama ndiko
anakotoka mgombea wa Chadema katika uchaguzi huo, Grace Tendega.
Mwanamke, mkazi wa Kijiji cha Wangama akimpongeza Fred Mgata baada ya uamizi wake wa kuhamia CCM kutoka Chadema
Mgombea wa CCM jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akimshukuru Mwenyekiti
wa Chadema Kijiji cha Wangama baada ya kutangaza kuhamia CCM leo.
Loading...
Post a Comment