Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ANGALIA PICHA ZA NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA ILIYOFIKA JANA

 





  Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana



  Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 Baada ya Kutua Jana usiku


 Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua





 Muonekano wa ndege  hiyo kwa ndani.





 Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo





 Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo





 Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo


Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine   5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top