Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa
mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa
Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti
Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki .
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa
mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa
Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti
Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki |
 |
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu akianyesha kadi ya mwanachama huyo na
akiwa anavishwa Tisheti na Katibu Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya
,
|
on Thursday, March 6, 2014
Post a Comment