Mbunge wa Jimbo la TemekeAbbas Mtemvu akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kata ya 14(CCM) Mohamedi Kidungu
Diwani
kata ya Tandika Mariam Mtemvu (kushoto) akisikiliza kwa makini ,
alipokua akizungumza Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya 14
Temeke
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa
mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa
Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti
Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki .
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa
mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa
Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti
Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki |
 |
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu akianyesha kadi ya mwanachama huyo na
akiwa anavishwa Tisheti na Katibu Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya
,
|
on Thursday, March 6, 2014
Post a Comment