Leo
hi BUSTANI YA HABARI ilibahatika kukutana na tukio la ugawaji kadi
katika kijiwe kikongwe cha siasa mkoani Morogoro kinachofahamika kwa
jina la TAHARIRI SQUARE.Watu kadhaa wamejiunga na chama hicho baada ya
kupigwa darasa la nguzo za chama hicho ambazo zimeandikwa nyuma ya kadi.
on Wednesday, March 19, 2014
Post a Comment