Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA KARIAKOO:MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA LA RASTA ZA KINADADA KARIAKOO ......WAULIWA PAPOHAPO

 
 







DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Ni mda mchache uliopita kutoka sasa tangu tukio hilo li

jiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili endelea kufatilia hapa maana waandishi pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina,

Hivyo ndugu msomaji wangu endelea kufatilia hapa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top