Jackline wolper afunguka kuwa amechoshwa kuvaa mawigi na kuskia nywele za bandia, bora niendelee na style yangu ya low cut coz this hair stylish things make me crazy and unconfatable, aah kila mda, almost every after one day natakiwa nibadilisha hair style au nipachike jiwigi jingine,All in all nimeamua kukata style hii ya kiduku coz naipenda sana n it makes me feel confatable, aliskika wolper wa gambe akieleza makubwa haya. Stay tune I love u all my gans mwaah!
TP Mazembe Yaaga Mashindano Ligi ya Mabingwa Afrika
12 minutes ago
Post a Comment