Kupitia akaunti ya Said
Fella ambaye ni C.E.O wa MKUBWA NA WANAE FOUNDATION na meneja wa msanii
Mh Temba, amefunguka na kusema anamkabidhi Mh. Temba mjengo wake ikiwa
ni mjengo wa pili kumpatia kutokana na shughuli nzima ya muziki
Temba akiwa kwenye mjengo wake |
"Wadau
namshukuru mungu leo mchana nimemkabidhi mbabe wa mdomo nyumba yake ya
pili hii ipo mbagara kirungule asante kwa mashabiki wetu wote wanao
tuwezesha na vijana wengi kubadirisha maisha asante sana"
credit : swahilitz.info
Post a Comment