Mtoto huyo wa kiumeakiwa amefunikwa shuka la gesti
Taarifa
zilizotufikia punde zinadai kwamba yule mtoto wa kiume aliyezaliwa gesti
huku mama yake Bi.Mwanaidi Athumani akiwa na mume mwingine amefariki
dunia jana.
Baada ya
kupokea taarifa hizo Mwandishi wa habari hizi alifika hospital ya Rufaa
ya Mkoa wa Morogoro na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha
mtoto huyo aliyekaa tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.
Vile
vile Mwandishi wetu alifanya juhudi za kina na kufanikiwa kumpata mume
wa mwanamke huyo ambaye pia alithibitisha kichanga hicho kufariki dunia.
Mwandishi
alifanikiwa kufanya mahojiano ya tukio hilo na baba huyo wa familia
hiyo ambapo pamoja na kuchukuha hatu kali zaidi ya mkewe huyo pia
amefunguka na kusema mambo mengi,
na Dustan Shekidele
Post a Comment