Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KILA KIJIJI NDANI YA JIMBO LA CHALINZE KUPATA TREKTA KWA AJILI YA KILIMO – RIDHIWANI KIKWETE

 


TALAWANDA 1 (5)
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.Picha na Othman Michuzi TALAWANDA 1 (6)
  TALAWANDA 1 (8)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mzee Joseph January wa Kijiji cha Kisanda,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi
.Picha na Othman Michuzi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top