Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Maandamano ya Wanafunzi na Walimu wa Shule za Sekondari,
Msingi na Vyuo Vikuu, wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya
Siku ya Pai Tanzania, iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam, leo Machi 14, 2014. Picha na OMR
Sehemu ya Wanafunzi na Waalimu, wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa na mabango yenye ujumbe kuhusiana na Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2014. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadiHaji Hassan, wa Shule ya Sekondari Feza Boys ya Jijini Dar es Salaam, aliyeibuka mshindi wa pili katika shindano la ‘Junior Mathematics Contest 2013’ wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2014. Picha na OMR
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Wasichana wakitoa burudani ya kwaya wakati wa sherehe hizo Mnazi Mmoja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya vitabu wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania, leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchapishaji Vitabu ya GDY Publications Co. Ltd, Gabriel Kitua. Picha na OMR Wanafunzi wa Shule ya Msingi Umoja ya Kiwalani, jijini Dar es Salaam, wakitoa burudani ya ngoma ya Makhirikhiri, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo Machi 14, 2014. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuagana na baadhi ya wanafunzi , wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, baada ya kuhitimisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania. Picha na OMR

akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wanafunzi
waliofanya vizuri katika shindano la ‘Senior & Junior Mathematics
Contest 2013’, baada ya kuwakabidhi zawadi zao, wkati wa sherehe za
maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania. Picha na OMR
Post a Comment