Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ms Jacqueline Barret, Group
Comliance Director wa Vodafone mara baada ya Mkurugenzi huyo kutoa
hotuba yake kwenye hafla ya 'Connected Women' iliyofanyika kwenye Hoteli
ya Golden Tulip tarehe 5.3.2013 ambapo Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni
rasmi.
Baadhi
ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE
CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma
Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi huo.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na kubadilishana mawazo na washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi huo.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akipiga picha ya pamoja ya Ms Jacqueline Barret na akinamama
wengine waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED
WOMEN INITIATIVE kwenye Hoteli ya Golden Tulip.
Burudani. PICHA NA JOHN LUKUWI

Post a Comment