IMG_4217
Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akimshukuru Mwalimu wa semina ya wanandoa Mchungaji, Peter Mitinimgi baada ya kumkabidhi machapisho na dvd za mafundisho ya kudumisha ndoa kulia kwa Tunu Pinda ni  Mwenyekiti wa umoja wa akina mama  wa New Life in Christ mkoa wa Dar  es Salam Akunda Nko anayefuatia ni  mke wa Naibu waziri  wa Fedha Naima Malima . Mama Tunu Pinda alikuwa mgeni rasmi katika semina ya wana ndoa iliyo andaliwa na New Life in Christ mkoa wa Dar. (Picha na Chris Mfinanga).

IMG_4247
Mama Tunu Pinda akiangalia maonyesho ya majarida yanayo elekeza jinsi ya kudumisha ndoa. Kulia kwake ni Naima Malima na kushoto kwake ni  Mwenyekiti wa New life in Christ  mkoa wa Dar Akunda Nko.
IMG_4204
Mmoja wanandoa Bi. Amani akifanyiwa mahojiano na vyombo vya habari.
IMG_4237
 Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda kwenye picha ya pamoja na uongozi wa New life in Christ.