Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO YA RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE KATIKA PICHA

 


rais1 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo wa Nigeria, Festus Mogae wa  Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde, Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka.do1
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis Hamad  na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia  na Mawaziri Mhe William Lukuvi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14, 2014.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top