Mkuu
wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto)
akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Gudluck Kway
Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga
(watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi
Milioni 5 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya
Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Edmund Rrutaraka, kwaajili ya
kusaidia waathirika wa kipunga katika Kijiji cha Kwatito. Katikati yao
ni Mkurugenzi w Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway na wafanyakazi wengine.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mega Trade Investiment wakishusha mabati hayo katika gari.
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga akizungumza baada ya kupokea nsaada huo.
Meneja
Mauzo wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya Mega Trade Investiment ya
jijini Arusha, Edmund Rrutaraka na Mkurugenzi wa Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway wakisalimiana na wanakijiji wa Kwatito baada ya kuwakabidhi msaada huo wa mabati.
Wananchi wakiwa na mabati yao baada ya kukabidhiwa.
Post a Comment