Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi Bw. George D. Yambesi, katikati,
akiendesha mkutano wa Baraza, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu
na kushoto ni Katibu Bi. Lilian Denis.
Sehemu yaWajumbe wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba akitoa mchango
wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Mkurugenzi
wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Bw. Emmanuel Mlaya akitoa mchano
wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais,
Utumishi.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi akisikiliza hoja wakati wa mkutano,
kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAb Mkwizu
Mmoja
wa wajumbe Suleiman Mafele anayetarajia kustaafu, kulia, akimuaga
Katibu wa Baraza la Watumishi wa Ofisi ya Rais , menejimenti ya Utumishi
wa Umma Bi. Lily Denis, katikati, kushoto ni Bw. Festus Mbwiro.
Post a Comment