Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Machi 17, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipongezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada
ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya
Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam, leo Machi 17, 2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,
Regnald Mengi (wa pili kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa
nchi za Tanzania, Kenya Uganda na Seychells, Gilad Millo. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian
Sarakikya, wakati alipotembelea banda la Kampuni ya Balton Tanzania,
baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati
ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam, leo Machi 17, 2014. Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biasara na
Habari, Linda Byaba. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua
rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Machi 17, 2014. Kushoto ni Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya
(kulia) ni Mkuu wa Maendeleo ya Biasara na Habari, Linda Byaba. Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiondoka ukumbini baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara
na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17, 2014. Picha na OMR
Post a Comment