Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DR. SHEIN AZINDUA BARABARA PEMBA


IMG_8160
Barabara ya Chwale-Likoni ni moja ya barabara zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba ambayo imetengenezwa na Kampuni ya h.yang ltd ya nchini  Kenya kwa udhamini wa Mfuko wa MCC. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8168
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Virginia Blaser alipowasili katika uzinduzi wa Barabara  5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,barabara zilizozinduliwa Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8192
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na   Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Changamoto za Milenia Tanzania Bw.Bernard S.Mchomvu,katika uzinduzi wa Mradi wa  Barabara 5 zilizojengwa na Mfuko huo wa Mcc Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8210
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,(kushoto) wakipata maelezo ya ramani ya michoro  ya ujenzi kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Usafirishaji (MCA-T) Eng Salum I.H.Sasillo,alipofika kuzindua Barabara 5 za Mradi Mkoa wa Kaskazini Pemba zilizojengwa kwa udhamini wa Mfuko wa Mcc.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 IMG_8427
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata utepe  kuzindua barabara  5 za mradi zikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8435
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakifuatana baada ya kufanya uzinduzi wa barabara  5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8532
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waliohudhuria katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8603
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi katika shererehe za Uzinduzi rasmi wa barabara  5 za mradi katika Mkoa  wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.(kulia) Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Rashid Suleiman, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8700
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waliohudhuria katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8741
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,kwa pamoja wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Bara bara 5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia wa Watu wa Marekani (MCC) hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Gombani wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top