Mwenyekiti
wa Hamashauri ya Wilaya ya Gairo ambaye ni Diwani wa Kata ya Iyogwe,
Mhe: Clemence Msulwa akitoa hotuba yake wakati akifunga Mkutano maalumu
wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakati
wakupitisha azimio ya sheria ndogo za uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014, (kushoto kwake), Mkuu
wa Wilaya ya Gairo, Mhe: Khanifa Karamagi (wakwanza kusho), Meneja wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi Rose Ongara (wapili kulia),
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko, mkutano huo
ulifnyika katika ukumbi wa Hotel ya Diana Wilaya ya Gairo Machi 28,
2014.
Mkuu
wa Wilaya ya Gairo,Mhe: Khanifa Karamagi akiwa kwenye picha ya na
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo pamoja na Maafisa wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), baada ya kumalizika kwa mkutano maalumu
wa Baraza la Madiwani wakupitasha azimio la sheria ndogoza uanzishwaji
wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.
Madiwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakipitia vipengele mbalimali vya sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014,kabla ya kupitishwa kwa azimio hilo.
Afisa
Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory
(wakwanza kutoka kushoto nyuma pamoja na Maafisa wengine kutoka Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya wakishuhudia kupitishwa kwa azimio hilo.
Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Huduma za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga
(katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bw.Tumsime
(kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo
wakifuatilia kwa umakini upitishwaji wa azimio la sheria ndogoza
uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.
Diwani
Kata ya Kibedya Wilaya ya Gairo, Graceford Mkunduge akitoa azimia
lakupitisha sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.
Mratibu
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Elisia Mtesigwa akielezea namna
yakujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii katika kipindi cha robo nne ya
mwaka kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa tano mwaka huu 2014,
uhamasishaji huo utafanyika kwa kushirikiana Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), pamoja na Halmashauri ambapo unatarajiwa kufanyika katika
vijiji kumi 10 kutoka katika kata tano zitakazo teuliwa, kata
zitakazopewa kipaumbele ni zile ambazo hazikuhusishwa katika
uhamasishaji uliofanyika kati ya Halmashauri na Mradi wa ISAQH mwezi
Desemba 2013.
Mheshimiwa
Mwenyekiti katika, katika uhamasishaji huo wananchi watapata fursa ya
elimu juu ya utendaji wa mfuko wa CHF pamoja na faida zake pia kaya
zitazo jiunga na mfuko huo zitapewa kadi siku hiyo hiyo ya
uhamasishaji,aidha kutakuwa na shughuli zingine kama vile upimaji wa
Afya hususani VVU,Sukari, Shnkizo la damu, Malaria,Uzito, Urefu pamoja
na ushauri wa afya”Alisema Mtesigwa.
HABARI PICHA -NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE-GAIRO MOROGORO
Post a Comment