Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha
Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM mpiganaji Salum Mkambala
aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa ya MOI leo katika Hospitali ya Taifa
muhimbili anakotibiwa majeraha baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa
vibaya wiki iliyopita
Loading...
Post a Comment