Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (aliesimama kulia) akizungumza
machache wakati alipofika kuhani msiba wa Mtoto wa Mzee Mashaka Athuman
mkazi wa kijiji cha Rupungwi,Kata ya Mandela iliopo ndani ya Jimbo la
Chalinze.Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea moja ya kati ya mbili ya Kadi
za Chadema kutoka kwa aliekuwa Mwanachama wa Chadema,Mrisho Issa mkazi
wa Kijiji cha Msata,ndani ya Jimbo la Chalinze.Mwingine alierudisha kadi
ni Kassim Msakamali .Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akiwainua mikono Wanachama
wapya wa Chama cha Mapinduzi,Kassim Msakamali (wa pili kushoto)
na Mrisho Issa (wa pili kulia) ambao wote ni Wananchi wa Kijiji cha
Msata,Chalinze.Kulia ni Meneja wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la
Chalinze (CCM),Steven Kazidi..Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete aiwasalimia wananchi wa
Lugoba,Chalinze..
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa katika Mkutano na Wazee wa
Kimasai walipokuwa wakijadilina juu ya swala la Wafugaji wa Chalinze na
Pwani kwa Ujumla,jana Machi 17,2014 kwenye Ukumbi wa Masai,Chalinze.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa amekabidhiwa fimbo ikiwa ni
ishara ya kusimikwa na kuwa Laigwanani wa Kimasai na Laigwanan Ole
Masinga,Mbunge
wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka akiwaomba Wananchi wa
Lugoba,Jimbo la Chalinze kutofanya makosa kwenye Uchaguzi Mdogo ndani
ya Jimbo lao na Wampigie Kura Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete. Sendeka
aliyasema hayo jana Machi 17,2014 katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika
kwenye Uwanja wa Sokoni wakati alipopita kuwasalimia WanaChalinze.Mbunge wa Jimbo la Longido,Mh. Lekule Laiza akiwasalimia Wana Chalinze
Post a Comment