Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha
Rasimu ya Katiba mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabmadiliko ya
Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) baada ya Mwenyekiti huyo
kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya bele ya wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba Bungeni Mjini Dodoma Machi 18, 2014.Wengine ni Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kuli), Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Kiongozi
wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (watatu kushoto) na watatu kushoto
ni Waziri wa Mambo ya Ndani , Mathias Chikawe. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment