Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUTANO WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO KUKABILIANA NA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR WAFUNGULIWA

DSC_1226

DSC_1212 Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.DSC_1216 Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.
DSC_1219 Mwakilishi kutoka Danida tawi la Zanzibar Dr.Jutta katikati akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.DSC_1221
Meneja wa Mradi wa Kumaliza Malaria Zanzibar Abdulla Suleiman wapili kulia akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.DSC_1226Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma katikati akiwa katika picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano unaohusiana na Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .
DSC_1238
Washiriki wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View . 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top