Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA. MACHI 18,2014

005 (1)

????????
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisalimiana na Mkurugenzi ya Halmashauri Wilaya Chamwino Mkoani Dodoma Adrian Jungu.baada ya kuwasili kuzindua mradi mkubwa wa maji wenye uwezo wa kuwahudumia wakazi zaidi ya elfu 13 uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 300.kilichopo katika kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  
 
????????
kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kima cha maji.
???????? Muonekano wa kisima kichozinduliwa.
004 (2) Kulia Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe (katikati), Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, na kushoto Afisa Tarafa Chamwino Mvumi Mohamed Mfaki akielekea kuzindua bomba la maji.005 (1)
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwapamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji
006 (1) 
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji chaMvumi makulu Mkoani Dodoma.007 (1)
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akipanda mti.???????? ????????
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiongea na wana kijiji wa Mvumi makulu Mkoani Dodoma.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top