|
Mgombea
Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka
kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangala. |
|
Mgombea
Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akionesha fomu ya
uenyekiti aliyochukua leo Kushoto niMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na
Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangala na Kulia ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw.
Paul Makonda. |
|
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum
la Katiba Samwel Sitta akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya
Kuchukua fomu hizo na kuahidi kufanya kazi kwa Kasi naViwango. |
(PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
on Tuesday, March 11, 2014
Post a Comment