Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa
mjini Dodoma Machi 21, 2104
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa
mjini Dodoma Machi 21, 2104
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipewa pongezi kwa hotuba nzuri na Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan mara
baada ya kulihutubia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein,
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta na Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan
wakifurahia jambo mara baada ya Rais kulihutubia Bunge hilo Ijumaa
mjini Dodoma Machi 21, 2104.PICHA NA IKULU
Post a Comment