Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa
zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia
zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika
hali ya kushangaza sana Mtu mmoja ambaye ni Muuza madawa ya Kulevya
amekamatwa nyumbani kwake na zaidi ya Dola Bilioni 22 Pesa ambazo
zilikuwa zinatosha kabisa kwa ajili ya kulipia huduma ya afya kwa ajili
ya wanawake na wanaume wote USA kwa muda wa miaka 12.
Walioingia katika ukamataji huo walikuwa wamejipanga vilivyo. Inasemekana ya kwamba sio hiyo nyumba tu ambayo inahusika na hayo maswala ya madawa ya kulevya bali kuna zengine 27 zaidi ambazo zinafanya mambo haya na Dunia nzima kwa ujumla.Kwa sababu hii ni ngumu sana kupigana na Biashara Haramu ya Madawa ya kulevya Duniani kote Hiki ni kieneo kidogo tuu cha hizi siraha nzito ambazo walikuwa wanazitumia jamaa hawa wauza madawa ya kulevya.
Hizi ni Bastora ambazo zimetengenezwa kwa

Post a Comment