|
Mmoja wa
washiriki katika mbio za Vaisakhi rally 2014 akionesha umahiri wa
kupita vikwazo katika njia iliyotumika kwa ajili ya mashindano
hayo. |
|
Team Viduku
wakitafakari baada ya gari lao la mashindano kupata hitilafu wakati
wakiwa katika mzunguko wa pili wa mashindano ya Vaisakhi rally
2014. |
|
Gari namba 2,
aiana ya Subaru inayoendeshwa na Dereva Gurjit Dhani akiongozwa na
Shameer Yusuf wakikatisha kona katika eneo la Geti fonga katika
mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally yaliyofanyika Jana mjini
Moshi. |
|
Wananchi wa mjini Moshi, waliojitokeza kushangilia magari
katika eneo la Mabogini katika mbio za mwaka huu za magari za
Vaisakhi |
|
Moja ya magari yaliyoshiriki mashindano ya mwaka huu ya
Vaisakhi Rally, yaliyofanyika jana mjini
Moshi. |
|
Gari aina ya Mitsubishi linaloendeshwa na Dereva mkongwe,
Gerrad Miller likikatiza kona katika eneo la
Newland. |
|
Gurjit Dhani akichana mbuga katika eneo la
Newland. |
|
Gurjit Dhani |
|
Gari namba 32,
linaloendeshwa na Dereva Amarjeet Dhillon wa Arusha akichanja mbuga
katika mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally. |
|
Washindi wa pili
wa mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally, Gurpal Sandhu (kushoto)
na msaidizi wake Absalom Aswani
|
Washindi
wa tatu katika mbio za mwaka huu za magari, maarufu Vaisakhi Rally
2014, Rajpal Dhani na msaidizi wake Surinder Sudle wakiendesha gari ya
Subaru. |
|
|
Mshindi wa kwanza
wa mashindano ya Vaisakhi Rally mwaka huu, Gurjit Dhani (kushoto) na
Msaidizi wake Shameer Yusuf wakishangilia ubingwa wao. katikati ni Afisa
michezo wa mkoa wa Kilimanjaro, Anthony Ishumi. |
|
Mshindi wa kwanza
wa mashindano ya Vaisakhi Rally mwaka huu, Gurjit Dhani (kushoto)
akimpa zawadi ya ushindi Baba yake Mzazi, Mzee Dhani wa Charang Singh,
Kulia ni Msaidizi wake Shameer Yusuf. |
|
Washindi wa nafasi ya tatu hadi ya kwanza katika mashindano ya
mwaka huu ya Vaisakhi Rally. Picha na Dixon Busagaga
wa Globu ya Jamii, Moshi. |
on Monday, March 17, 2014
Post a Comment