Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba
----
Siku kadhaa baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge na kuponda
ripoti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji
Joseph Warioba amesema jukumu walilopewa kwa mujibu wa sheria
wamelikamilisha na wanawaachia wananchi waamue.
Post a Comment