Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATU 12 WAMEKUFA PAPO HAPO NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA BAADA YA GARI LAO KUGONGWA NA MALORI HUKO KONGEI-SAME MKOANI KILIMANJARO


Picha na Maktaba.
Watu 12 waliokuwa wanasafi kuelekea kwenye msiba kwa kutumia gari aina ya Toyota Pick

Up kwenda katika msiba wa jaama yao kumuhani msiba ulikuwa katika kijiji cha Kongei, Kata
ya Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro wamekufa papo hapo na
wengine kujeruhiwa vibaya baada ya gari lao kugongwa na malori
mawili ya mizigo.
Ajali hiyo ambayo ilitokea katika muda wa usiku katika barabara kuu ya
-Moshi, Chalinze katika eneo la hedaru ilisabababisha magari matatu
ambayo ni Fuso lenye namba za usajili T 299 ANM likitokea Moshi kwenda
Dar es Salaam na Scania namba T 737 AKW lenye tela namba T 776 CCN
ambalo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Moshi Kwa mujibu wa Kamanda Boaz.Aliwataja waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni Stella John (45), Salma
Kizoka (33), Marry Senzige (49), Neema Daniel (52), Rehema George
(29), Sophia Mbike (51), Mama Ritta Kallani (55), Mama Kallan Stephano
(55), Kolina Mmasa (55), Bahati Daudi (25),
Farida Kiondo (24) na Maria John (33) wote wakazi wa Kongei,Kata ya
Hedaru,Tarafa ya Chome-Suji. Hata hivyo, miili ya marehemu hao
imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Same.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top