Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA

PG4A2497

  
PG4A2437 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya  Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2455
Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A2474 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
PG4A2497
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimtwika ndoo ya maji, bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua  mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji  Machi 17, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2525
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji  Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top