WATU
wanne wamepoteza maisha wakati watatu wakijeruhiwa baada ya kugongwa na
fuso lililokatika breki eneo la mto Mkokozi, Temeke jijini Dar es
Salaam.
Kwa
mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, fuso hilo lilikuwa limebeba mzigo wa
kokoto likitokea Mjimwema, lilipofika daraja la mto Mkokozi, lilikatika
breki kisha likaparamia bajaj mbili na kusababisha maafa hayo.
Chanzo: Jamii Forum
Post a Comment